BALOZI DR DIODORUS KAMALA ACHANGIA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA KATA YA KITOBO

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (pichani) akiongea na wananchi wa Kata ya Kitobo jimboni humo katika mkutano wake na wananchi uliofanyika Jana Feb 29,2016 katika shule ya Msingi Mbale,Balozi Kamala alichangia miradi mbalimbali ya maendelewa katika kata hiyo ikiwa ni pamoja na kuchangia mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Chumba cha maabara katika Shule ya Sekondari ya Bwabuki na kuahidi mifuko 20 ya Saruji kwa ajili ya Ukarabati wa Ujenzi wa Shule ya msingi Kyazi.













Makundi ya watu waiendelea kufuatilia kwa kina kinachojiri






Uongozi wa Kata Kitobo unatoa shukrani kwa Halmashauri ya Wilaya Missenyi kwa matengenezo ya Barabara ya Kyabajwa hadi Kyazi,Mbale,Kashasha hadi Bwanjai ,Barabara hizo zinapitika bila matatizo Wanaiomba Serikali iweze kufanyia ukarabati barabara ya Kyabajwa hadi Kyazi kwa maana imeanza kuaribika





