Bukobawadau

MBUNGE WA NKENGE BALOZI DK KAMALA AENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE

Mbunge wa jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Kamala akiweka jiwe la msingi la chumba cha darasa leo katika sm Kikukwe kata ya Kanyigo linalojengwa na vijana waliosomea shuleni hapo. Chumba hicho kitagharimu Shilingi milion kumi na mbili kumi na mbili. Mbunge ameahidi kuchangia mifuko 20 ya saruji
 Mbunge Balozi  anaendelea na ziara katika jimbo lake lenye jumla ya kata 20,ikiwa leo ni kata ya 16 akiwa Kanyigo leo Balozi Dk. Diodorus Kamala ametumia fursa hiyo kuwashukuru wadau wengine wanao endelea kuhisaidia jamii kwa namna moja ama nyingine.
Next Post Previous Post
Bukobawadau