Bukobawadau

BALOZI DR KAMALA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI KATARABUGA

 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala pichani kushoto akimsikiliza kwa makini Afisa Elimu wa kata Bwanjai Bw. Winchslaus Patrick , Balozi Dr. Kamala amefanya ziara ya kutembelea  Shule ya msingi Katarabuga iliyopo katika kijiji cha Nyabiokwe kata Bwanja Missenyi hili kuzijua changamoto mbalimbali zitokanazo na utekelezaji wa huduma ya elimu bure
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akishiriki maongezi na Walimu Wakuu wa shule za msingi zilizopo kata ya Bwanjai,Walimu hao wamekutana  katika Shule ya msingi Katarabuga kwa lengo la kubadilishana mawazo ,kujifunza na kupeana mbinu za kukuza ushiriki wa wananchi katika kuboresha elimu ndani ya Kata ya Bwanjai
 Baadhi ya Walimu Wakuu wa shule za msingi zilizopo kata ya Bwanjai Wilayani Missenyi
Next Post Previous Post
Bukobawadau