Bukobawadau

DKT. POSSI AZINDUA KITABU CHA “HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY?”

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY?  (Jinsi gani Tanzania kutoka katika umasikini kuelekea katika ustawi)  kimeandikwa na wahadhili kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Kitabu hicho kimezinduliwa katika ofisi za waziri mkuu jijini Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.
 Profesa Laciun Msambichaka na mhariri Mkuu wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha kitabu hichokatika uzinduzi uliofanyika jijini Dares Salaam tarehe 10 Machi 2016,  katika ofisi ya waziri mkuu.
 Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Bashiru Ally  (Kushoto) akifafanua dhima nzima ya kitabu  cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY?  katika ofisi ya waziri mkuu jijini  Dar es Salaam,  tarehe 10 Machi 2016, Katikati ni Mkuu wa Ndaki ya Sayansi ya jamii chuo kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Godius Kahyarara na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi wakiwa kwenye uzinduzi wa kitabu hicho. 
 Mkuu wa Ndaki ya Sayansi ya jamii chuo kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Godius Kahyarara akifafanua jambo katika uzinduzi wa  kitabu  cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERT TO PROSPERITY  katika ofisi ya waziri mkuu jijini  Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu  cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY?  katika ofisi ya waziri mkuu jijini  Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi (katikati ) akionyesha kitabu kilichozinduliwa leo kitabu  cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY?  kitabu hicho kimezinduliwa katika ofisi ya waziri mkuu jijini  Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016. Wengine ni wahadhiri wa chuo kikuu cha Dar es Salaam wakipiga makufi mara baada ya kuzindua kitabu hicho. 
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akiwa na baadhi ya wahadhiri, waandishi  wa kitabu na waalikwa wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya uzinduzi wa  kitabu  cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY?  katika ofisi ya waziri mkuu jijini Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.
Next Post Previous Post
Bukobawadau