Bukobawadau

SHANGWE ZA PASAKA NDANI YA CLUB LINAS

Wasanii wa Navy Kenzo Nahreel na Aika wakishambulia Jukwaa ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club Usiku wa Pasaka.
 Wasanii wa Navy Kenzo 'Nahreel na Aika' ambao pia ni mtu na mpenzi wakiimba Wimbo wao maarufu uitwao ‘Game’wimbo unao endelea kutamba mpaka kesho.
 Shabiki wa Nahreel akipagawa na wimbo maarufu uitwao 'Yamoyoni'
 Wacha Kabisaaa!!....Kadansee ya Bukoba Deka!
 Haya sasa... Wimbo hewani ni Kamatia”
 Mambo ya Nokia Ringo yakichukua kasi
 Mama na wana katika usiku wa KamataChini kamatia chini , kamata chini #kamatiachini !!!
Mafans wakiendelea kuserebuka
Camera ya mwanalibeneke katika kuangaza ukumbini
 Mtamboni yupo Dj Simba
 Mdau msomaji, shukrani kwako kwa kuendelea kutuchagua Bukobawadau.
 Sehemu ya wadau waliojitokeza kushuhudia Shangwe za Navy Kenzo
 Wana wa Kibengwe pichani wakicheck na Camera yetu ukumbini, ikiwa ni Usiku wa 'Navy Kenzo'
 Mamaa Asimwe na Bi Maua Daftari wa Ramadhani wakifuatilia kinachojiri Ukumbini
 Wakati Show ikiendelea  kuchukua kasi ukumbini
Mafans kama mbele vile....!
 Pichani Kushoto ni Mdau Sady Amran akishow love na wana.
 BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
KWA MATUKIO YALIYOJIRI MCHANA WA PASAKA GONGA HAPA >>BUKOBAWADAU MEDIA
Next Post Previous Post
Bukobawadau