SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

16 March 2016

WATAALAM WAJADILI MENEJIMENTI YA MAAFA KWA AJILI YA MAANDALIZI YA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI YA TAIFA YA URATIBU WA MAAFA NCHINI (TANDREC)

Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya akifuatilia hoja za wajumbe wa  Kikao cha Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali (hawapo pichani), walipokutana kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini (TANDREC),   tarehe 15 Machi, 2016, Jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya akiwaongoza wajumbe kupitia makabrasha ya Kikao cha Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali walipokutana kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini (TANDREC),  tarehe 15 Machi, 2016, Jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ambaye pia ni Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali akipitia makabrasha ya Kikao cha Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali walipokutana kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini (TANDREC), tarehe 15 Machi, 2016, Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali wakipitia makabrasha ya kikao walipokutana kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini (TANDREC), Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Machi, 2016.
 Afisa Maafa wa Jeshi la Wananchi, Kanali Mohamed Mwakalikene akipitia makabrasha ya Kikao cha Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali walipokutana kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini (TANDREC), tarehe 15 Machi, 2016, Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali wakipitia makabrasha ya kikao walipokutana kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha Kamati ya Taifa ya Uratibu wa maafa nchini (TANDREC), Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Machi, 2016.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU