Bukobawadau

MASWALA YA PICHA NA NYUMBANI STUDIO

 Husikana na ‪#‎NyumbaniStudio‬ wale wataalam wenye uwezo na kipaji cha kupiga picha na kumfanya mtu anukie kiujana ata kama age imeenda,Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 0768 397241, +255 784 505045 na 0754 0715 505043
Picha ya Mdau pichani kupitia ‪#‎NyumbaniStudio
 Mr & Mrs Steven Byabato wakicheck na Camera yetu
 Bi Edna Edmund wakati wa shughuli yake ya Send Off  iliyofanyika mwishoni mwa juma katika kumbi wa Bukoba Club
Matukio yya Ukumbini  Bukoba Club katika Send off party ya Bi Edna Kokumanyika Edmund
 Taswira ukumbini shughuli ya mapambo kutoka kwa Mama Adventina Matungwa
 Bi Bi Edna Kokumanyika Edmund akijimwaya Ukumbini wakati wa shughuli yake ya Send off
 Bwana David Isaya pichani kushoto ambaye sasa ni mme wa Bi Edna Kokumanyika Edmund .
 Bi Edna Kokumanyika Edmund 
 Kama kawaida pale unapohitaji kuwa na kumbukumbu bora ya siku yako husika na timu nzima ya #Bukobawadau na #NyumbaniStudio upate kile kinacho stahili.
 Photo Credit @ Nyumbani Studio
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0768 397241
Next Post Previous Post
Bukobawadau