Rais JPM ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa TIC Bi Julieth Kairuki kwa
kosa la kutokuchukua Mshahara wake tokea aajiriwe kwenye Taasisi hiyo
Mnamo mwezi April 2013 hadi leo.
BAAADA YA HILI UTENGUZI HAYA NI MAONI KUTOKA KATIKA VYANZO MBALIMBALI
Hii ni kutoka Group moja la Whatsaap"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital.
Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa
mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini
kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset
T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs. Ikumbukwe SA alikua
akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni
kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si
rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country.
But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka
kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara
wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake,
lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate
madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua
hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary
review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara
mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma. TIC wakaogopa kuendelea na
review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi
hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the
whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka
mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi
without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye,
nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa
sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision
basing from his informers. This is typical injustice b'se principles of
natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA
kuendelea na kazi yake"
Mwisho wa kunukuu.!
Tweet ya Mh Balozi Kagasheki
Maoni ya Mdau Mwesiga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment