Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CATHBERT CRISPINE KAHABUKA

TAARIFA YA MSIBA:Ndugu Samuel Lugemalila wa Arusha anasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao ,mwanao Cathbert Kahabuka pichani ambaye ni Mtoto wa Mdogo wake Cris Kahabuka ,kilichotokea leo alhamisi 28/4/2016 katika hospital ya Lugalo Dar es Salaam.
Shughuli ya Mazishi inatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam baada ya kuwasili kwa wazazi wa Marehemu
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau