Bukobawadau

SOKO LA SENENE JUMATANO YA LEO APRIL 27,2016

Muonekano wa Soko la Senene Mjini Bukoba leo Jumatano April 27,2016
Tayari tupo katika  msimu wa senene ,kitoweo pekee katika Ukanda huu kinachogusa mioyo ya watu kwa wakati wote popote pale na kwa kila lika kama inavyo onekekana pichani hekaheka za wadau zikichukua kasi eneo la Soko la Senene mjini hapa, leo Jumatano April 27,2016
Wachuhuzi wa Senene wakiendelea kuwauzia wateja wao ambao baadhi utumia kitoweo hicho  kama kitafunio ile hali wengine wanawanunua kwa matumizi ya Mboga majumbani kwao.
Next Post Previous Post
Bukobawadau