Bukobawadau

WENJE APIGWA CHINI KESI YAKE DHIDI YA MABULA

Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Nyamagana,Mahakama kuu Kanda ya Mwanza yaridhia ushindi wa Stanslaus Mabula kuwa mbunge halali wa Nyamagana dhidi ya mbunge aliyemaliza muda wake Ezekiel Wenje (Chadema).
Next Post Previous Post
Bukobawadau