Bukobawadau

HALI YA BARABARA KATIKATI YA MJI WA BUKOBA

Hali ni tete barabara ya katikati ya Mji wa Bukoba kutokana na mashimo yaliyojaa maji kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha.
 Pichani ni muonekano wa barabara kutokea kituo kikuu cha Stendi ya Mabasi ya kwenda mikoani na kwenda maeneo mbalimbali Vijijini (Wilayani)
 Hii hali hali imezidi kuwa mbaya sana kutokana na kukosa usimamizi wa kiukarabati.
Salaam kwa Uongozi wa Manispaa kwa niaba ya wakazi ‪#‎FanyeniUkarabati‬ ‪#‎HaliniMbaya‬ .#HaliniMbaya#FanyeniUkarabati
Next Post Previous Post
Bukobawadau