Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakifurahia jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipowasili mkoani
Dodoma kwa ajili ya kikao hicho cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakielekea kwenye kikao cha
Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
0 comment:
Post a Comment