Bukobawadau

SHOW YA MIAKA 16 YA JUMA NATURE KUFANYIKA KESHO JUMAPILI MAY 22 LINAS CLUB BUKOBA

SHOW YA MSANII mwenye jina kubwa katika muziki wa Bongo Fleva nchini, Juma Kassim Kiroboto 'Juma Nature' itafanyika kesho Jumapili May 22 katika Ukumbi wa Linas Night Club
Wakazi wa Mji wa Bukoba mnakaribishwa kushuhudia show ya MIAKA 16 ya Juma Nature kwenye Game la Bongo flavour kwa kiingilio cha 5000 tu !
Next Post Previous Post
Bukobawadau