Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CHA MULANGIRA MOMICIAN KYAI

TANZIA:Taarifa ya Kifo cha Mulangira Domician Kyai Kapisi kilichotokea alfajiri ya jana tarehe 20 May katika Hospitali maalum ya Tumbi Kibaha,Shughuli ya mazishi inatarajiwa kufanyika nyumbani kwake kijijini Kikukwe Kanyigo Bukoba,siku ya Jumatatu May 23, 2016
R.I.P Mulangira Domician Kyai Kapisi ,Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Mbele yetu,nyuma yako.
Next Post Previous Post
Bukobawadau