SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

27 June 2016

TAARIFA YA KIFO CHA MARIADINA KASHONDA

Bwana Method Kashonda wa Mbezi Beach-Dar es salaam,anasikitika kutangaza kifo cha mke wake mpenzi, Mariadina Kashoda kilichotokea India tarehe 23/6
Habari ziwafikie -
1, Ukoo wa Abashaga wa Nyabutaizi Bwera-Kagera.
2, Ukoo wa Abashaga wa Ntunga-Bwera -Kagera.
3, Ndugu na jamaa wote popote walipo.
Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani kwake Nyabutaizi, Bwera, wilaya ya Misenyi Kagera saa 8 mchana Siku ya jumatano tarehe 29/6/16
Pumzika kwa amani Bibi Mariadina Kashoda!Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU