Bukobawadau

WASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA ILIYOANDALIWA NYUMBANI KWA MDAU RAJESH PATEL

Wadau mbalimbali wakiongozwa na Sheikh wa mkoa wa Kagera waliweza kushiriki kwa kuhudhuria futari iliyoandaliwa na Mdau Rajesh Patel (Raju)pichani kulia ,Siku ya Jana Jumapili nyumbani kwake Bilele Bukoba mjini iliyofuatiwa na Dua ya kuwaombea wote walioshiriki iliyo ongozwa na Sheikh Haruna Kichwabuta ambaye ni Sheikh wa Mkoa wa Kagera na kuwatakia fadhira waislam wote kumalize salama kumi la mwisho la mwezi mtukufu wa Ramadhani!!
 Futari iliyo andaliwa kwa ajili ya wageni nyumbani kwa Mdau Rajesh Pateli
 Muonekano wa menu kwa ajili ya futuru
 Mzee Ramadhan Kingi akiendelea kupata kile kinachostahili.
 Pichani anaonekana Bwana Fadhil na Ustaadh Raja.
 Wadau wakiendelea kupata huduma ya futari iliyo andaliwa nyumbani kwa Bwana Rajesh
 Mdau Rajeshi aliyesimama akiakikisha kila kitu kipo sawasawa
 Upande wa pili wanaonekana wadau wakipata futari iliyofuatiwa iliyoandaliwa na Mdau Rajesh Patel (Raju)na  kufuatiwa na Dua ya kuwaombea wote walioshiriki iliyo ongozwa na Sheikh Haruna Kichwabuta ambaye ni Sheikh wa Mkoa wa Kagera na kuwatakia fadhira waislam wote kumalize salama kumi la mwisho la mwezi mtukufu wa Ramadhani!!
 Shughuli ikiendelea...
Haji Hasheem Mugunda pichani kulia
 Bwana Jamal Kalumuna pichani kushoto akiendelea kupata futari pamoja na waalikwa wengini
 Bwana Rahym Kabwemela akiendelea kupata futari pamoja na Vijana wake Rama na Jamal
 Ndugu Optaty Henery (Katibu) akitoa huduma kwa Bwana Sued Kagasheki pichani kulia
Mtoto Abdul anaonekana yupo poa baada ya kupata futari
 Wakati waalikwa wakiwasili nyumbani kwa bwana Rajesh Patel
 Waalikwa wakiendelea kupata futari

 Kijana akiendelea kupata futari iliyo andaliwa nyumbani kwa Mdau Rajesh Patel
 Baadhi ya wadau waliohudhuria ni pamoja na Blogger Mc Baraka pichani katikati
 Katikati anaonekana Mdau Yusuph Wastara
 Huduma ikiendelea kulingana na mahutaji

Alhamdulillah Kwafutahi hii ndivyo anavyo onekana mdau pichani
 Kijana Amiraly akipozea kwa juice kabla ya utaratibu mwingine
 Mdau Nuru Kasabu akishuriana na Ayaz kuakikisha huduma inakwenda sawa
 Uncle Salum Organizer ,Mzee Kabaka na ndugu Taimur wakati dua ikiendelea kusomwa
 Kushito ni Mdau Hussein Kaitaba wakima dua mara baada ya kupata futari
 Majid Kichwabuta akibadilishana mawazo na Dr. Amin
 Katika picha ya pamoja Bwana Optaty ,Rajesh na Haji Abuba Sued
 Naam! anaonekana Bwana Jamal Kalumuna mara baada ya kukutana na Sheikh Haruna Kichwabuta

Next Post Previous Post
Bukobawadau