SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

19 July 2016

KIWANJA CHAWAKA MOTO JIJINI DAR

Kiwanda cha nguo ambacho ni moja ya viwanda vichache vinavyo fanya kazi ambapo kwa sasa kilikua kinatengeneza khanga na vitenge vilivyoanzishwa na baba wa taifa mwalimu Juliaua Nyerere kimeungua moto asubuhi ya leo.
 Picha na Tbn
Ni tukio la hivi punde ,kwa taarifa zaidi tujuinge katika taarifa ya habari ya Channel Ten

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU