Bukobawadau

MAELFU WAMZIKA ADV MARIA M. KASHONDA KIJIJINI KWAKE NYABUTAIZI -MISENYI JUNE 29,06

Pichani linaonekana Jeneza lenye mwili wa Marehemu Advocate Maria Malingumu Kashonda,wakati Mme wake Mzee Method Kashonda akitoa historia ya waliyopitia katika maisha yao mpaka mauti yanamkuta.
 Baba Askofu Methodius Kilaini, Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, ameongoza maelfu ya waombolezaji katika Ibada ya Mazishi ya Advocate Maria Malingumu Kashonda iliyofanyika Jana Jumatano June 29,nyumbani kwake Kijijini Nyabutaizi, Bwera, wilaya ya Misenyi
Mapadre 6 wakiongozwa na Askofu Kilaini wamelishiriki Ibada ya mazishi ya marehemu  Advocate Maria Malingumu Kashonda yaliyofanyika Siku ya Jumatano June 29,2016
Umati wa waombolezaji
Bukobawadau Media tunatoa pole sana kwa wanafamilia,kwa pamoja tunamuombea apumzike kwa amani Bibi yetu Mpendwa Mariadina Malingumu Kashoda!Ni huzuni na vilio kwa wanafamilia ya Marehemu Adv. Maria Malingumu Kashonda.

Mjuu wa Marehemu akitoa heshima zake kumuaga Bibi yake mpendwa


 Mpwa wa Marehemu Adv. Maria Malingumu Kashonda akitoa heshima zake za mwisho
 Mwalimu Peace Kabyemela akitoa heshima zake za mwisho
 Jeneza likiingizwa Kaburini
Baba Askofu Kilaini akiongoza Ibada ya mazishi
Padre akiweka Udongo kaburini
Sehemu ya waratibu wa shughuli hii , katikatika ni Bwana Fedels Bashasha mwenyekiti wa kamati ya mazishi.
Baadhi ya mawakili wa kujitekegemea walioshiriki mazishi haya
Baadhi ya wanafamilia wakiendelea kushiriki mazishi ya mpendwa wao.
 Mzee Method Kashonda akiweka udongo kwenye Kaburi la mke wake mpendwa
 Mme wa marehemu Adv. Maria Malingumu kashonda akiweka Udongo kaburini.
 Baba Askofu kilaini akisimika msalaba kwenye kaburi la Marehemu Adv.Maria Kashonda
 Muonekano wa nyumba ya milele ya mpendwa wetu Adv. Maria Malingumu
 Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi ya picha....na historia ya marehemu

Marehemu Adv.Maria Kashonda wakati wa uwahi wake
 Muendelezo wa matukio mara baada ya Shughuli ya mazishi Bi Rose Kajilita pichani akiwafariji wafiwa
Jiunge hapa na Ukurasa wetu wa facebook kwa matukio ya picha zaidi (BUKOBAWADAU MEDIA)
Next Post Previous Post
Bukobawadau