Bukobawadau

RwandAir yafuturisha wadau wake jijini Dar

 Meneja Mkazi wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa Tanzania, Ibrahim Bukenya (wa pili kulia) akiwaongoza sehemu ya Wadau wao, katika ftar ya pamoja iliyoandaliwa na Shirika hilo, katika Bustani ya Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam Juni 30, 2016. Kulia ni Meneja wa Shirika hilo kwa Uwanja wa Ndege wa Dar es salaam,Eugene Mugisha na Kushoto ni mkatishaji wa tiketi za RwandAir, Ahmed Baghoza
Meneja Mkazi wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa Tanzania, Ibrahim Bukenya akizungumza machache wakati wa hafla ya Ftar waliyowaandalia Wadau wao, katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam Juni 30, 2016. 
Sehemu ya Wadau wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa nchini, wakimsikiliza kwa makini, Meneja Mkazi wa Shirika hilo, Ibrahim Bukenya, wakati wa hafla ya ftar iliyofanyika, katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam Juni 30, 2016. 
Sehemu ya Wadau wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa nchini, wakipata ftar iliyoandaliwa na Shirika hilo, katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam Juni 30, 2016. 
Meneja Mkazi wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa Tanzania, Ibrahim Bukenya akiwa katika picha ya pamoja na timu yake, mara baada ya ftar waliyowaandalia Wadau wao katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam Juni 30, 2016. 
Wadau rafiki wa Shirika la Ndege la RwandAir hapa Tanzania kutoka kushoto pichani ni Othman Michuzi, Barbara Hassana Clouds, Mustafa Hassanali, Gadner Habash
Next Post Previous Post
Bukobawadau