Bukobawadau

BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAKAZI YA MUDA YANAYOTUMIWA NA WAKAZI WA KITONGOJI BIRONGO KIJIJI MINZIRO - KATA MINZIRO

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimsikiliza Mwenyekiti wa Kijiji Kigazi akibainisha changamoto wanazopambana nazo Wanakijiji cha Kigazi baada tetemeko la ardhi kutokea katika kijiji cha Kigazi. Mojawapo ya changamoto ni ukosefu makazi baada ya nyumba zao kubomoka.
Next Post Previous Post
Bukobawadau