Bukobawadau

DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MZEE KASSIMU KARUANDILA 17, 2016

Familia ya Marehemu mzee Kassimu Karuandila wa Kitendaguro Bukoba pamoja na familia ya Bi Farida Kassimu na Mama yao Christer Karuandila inapenda kuwashkuru ndugu jamaa na marafiki wote kwa upendo na faraja mlivyowapatia katika kipindi chote cha msiba mpaka kufikia siku ya kisomo cha Arobaini (40) ya Mpendwa mzee wao Marehemu Mzee Kassimu Karuandila Shughuli ya Dua ya 40 ilifanyika jana Jumamosi Sep 17,2016
 Pichani ni watoto wa Kike wa kuzaliwa na Marehemu Mzee Kassimu, wakiwa katika picha ya pamoja na Mama yao mzazi, wote kwa dhati wanasema Ahsanteni Sana.
 Baadhi ya Marafiki wa karibu wa familia walioweza kushiriki shughuli ya kisomo cha Dua ya 40 ya Marehemu Mzee Kassimu Karuandila
 Bwana Abdul Kassimu Karuandila  ambaye ndiye mtoto mkubwa wa familia ya Marehemu Mzee Kassimu Karuandila.
 Sehemu ya akinamama waliojumuhika na familia hiyo
 Muonekano wa sehemu ya wanawake walioweza kuhudhuria shughuli ya Dua ya kumuombea Marehemu Mzee Kassimu Karuandila
 Bi Kadigy Karuandila, Binti wa Marehemu Mzee Kassimu Karuandila
 Bibi Christer Karuandila katika picha na Bi Eunice Nyamwiza Luangisa
 Bi Farida Kassimu mmoja kati ya watoto wa Kike wa Marehemu Mzee Kassimu Karuandila , kupitia Bukobawadau anapenda kuwashukru nyote mlioshiriki na kuungana katika kipindi cha msiba wa Baba yake Mzazi
 Marehemu Mzee Kassimu Karuandila wakati wa Uhai wake aliwahi kuwa meya wa Pili wa Manispaa ya Bukoba
 Baadhi ya Wadau na marafiki walioungana kwa pamoja kushiri shughuli hiyo iliyofanyika Siku ya Jumamosi kijijini Kitendaguro Manispaa Bukoba
 Imamu wa Msikiti wa Kitendaguru akitoa neno
 Katikati pichani ni Bi Tity Towo , Binti wa Marehemu Mzee Kassimu Karuandila
 Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa mawahidha katika shughuli ya Dua hiyo
 Marafiki wa karibu waliohungana na familia hii
 Sheikh wa Mkoa wa Kagera, Sheikh Haruna Kichwabuta wakati akiendelea kutoa mawahidha
 Umati wa watu waliohudhuria shughuli ya kisomo cha arobani ya Marehemu Mzee Kassimu Karuandila
Uncle Majid Kichwabuto pichani kushoto
 Shughuli ya Dua ikiendelea pichani kushoto anaonekana Kaka wa familia,Bwana Abdul Kassimu Karuandila .
 Imamu wa Msikiti waKitendaguro akiwaongoza waumini pamoja na Viongozi mbali mbali wa Kidini na wageni waalikwa kuitikai dua iliyoombwa katika hitma ya Marehemu Mzee Kassimu
 Taswira mbalimbali katika Shughuli kubwa ya Dua ya 40 ya Marehemu Mzee Kassimu Karuandila iliyofanyika nyumbani kwake Kijijini Kitendaguro siku ya Jana Jumamosi
 Sheikh Idrisa Mmoja wa Viongozi wa Dini waliohudhuria shughuli hiyo
 Waumini wa Kiislamu wakiendelea kushiriki Dua hiyo
Sehemu ya wanawake walioweza kushiriki katika shughuli hiyo
Mama Matungwa na Bi Eunice pichani
 Mdau Rihad Karuandila mmoja wa watoto wa Marehemu Mzee Kassimu Karuandila
 Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta
 Mama Shamila Kichwabuta katika picha na Mama Mkwe wake Mama Jadida Kichwabuta
 Katika hili na lele wanaonekana Uncle Badru Kichwabuta (kushoto) na Optaty Henry (katibu)
Mzee Ziakha Karwani ,rafiki wa karibu wa familia ya Marehemu Mzee Kassimu Karuandila.
 Mzee John pichani katikati
 Wanafamilia wakiungana na marafiki katika kupata picha kwa ajili ya kumbukumbu
 Bi Farida Kassimu pichani kushoto na Mdogo wake Bi Zena Kassimu Karuandila
 Pichani Kushoto ni Bi Sharifa Karwani na  Bibie Tityo Towo wakishow love mbele ya Camera yetu
Bi Asha Bablia  mmoja wa wadau waliohudhuria shughuli ya kisomo cha Dua ya arobani (40) ya marehemu Mzee Kassimu Karuandila
 Bi Kadiggy  pichani na Mama Sado ,Bi
 Muendelezo wa matukio ya picha katika shughuli ya Dua ya 40 ya Mpendwa wetu, Mzee wetu, kiongozi wetu marehemu mzee Kassimu Karuandila
 Mama Adventina Matungwa pichani
 Sehemu ya wadau mbalimbali walioweza kushiriki Dua hiyo.
Matukio ya picha mambo ya Selfie kwa ajili ya kumbukumbu
Ndugu Rihad akibadilishana Mawazo na Kaka Barongo Jr. pichani kulia
 Picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
 Muonekano wa Bonge la msosi kuhusiana na Shughuli hii iliyo onekana kupangiliwa vyema kabisa.
Muonekano wa kitu Menu...
Utaratibu wa kupata Chakula ukiendelea
 Kwa pamoja wadau wakishiriki kupata huduma ya chakula mara baada ya dua
 Meza kwa ajili ya huduma ya Chakula
 Matukio ya zaidi ya picha jiunge na Ukurasa wetu wa facebook
 Kinachoendelea ni Wadau kupata msosi wa nguvu ulioandaliwa katika shughuli hii
 Huduma ya Chakula ikiendelea
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa, Bukobawadau Media Namwombea kwa Mungu aendelee kuipumzisha roho ya Marehemu Mzee Kassimu mahali pema peponi .
 Hekaheka za wanafamilia wakihakikisha kila jambo lipo sawa sawa
 Kaka Abdul akisalimiana na wadau mbalimbali
 Dada Farida akipata picha na wanafamilia wenzake
 Mmoja wa wadau waalikwa..
 Bi Swabira Hamis mmoja kati ya waalikwa katika shughuli hii
 MWISHO;Muonekano Sehemu ya maegesho.


Next Post Previous Post
Bukobawadau