Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MTAANI

 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Sheikh Haruna Kichwabuta akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala ,Balozi Kamala alipita kumsalimia sheikh ofisini kwake #Bilele
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala ,pichani kushoto akiendelea kubadilishani mawazo na Sheikh Haruna Kichwabuta.
Next Post Previous Post
Bukobawadau