Rais Magufuli apokea taarifa ya maafa Kagera. Museveni achangia Tshs 437,000,000 kwa wahanga
Taarifa kwa Vyombo vya habari :Waliokufa kufuatia Tetemeko la Ardhi ni
17, majeruhi 440. Nyumba 2,063 zimeanguka na 14,081 ni hatarishi. Rais
Museveni achangia milioni 437.
-Rais Magufuli aonya wanaokusanya michango kwa lengo la kujinufaisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment