Bukobawadau

WAZIRI MHAGAMA ARATIBU SHUGHULI ZA MAAFA USIKU NA MCHANA MKOANI KAGERA, ILI KUHAKIKISHA HALI YA MAISHA YA WAATHIRIKA WA MAAFA INAREJEA KAWAIDA HARAKA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, Ajira na Watu wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akipigiwa saluti na Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Gwamaka Kalinga wakati alipofika wilayani Muleba kwa ajili ya uratibu wa athari za tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera tarehe, 10 Septemba, 2016.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, Ajira na Watu wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza muathirika wa maafa ya tetemeko la ardhi kijijini Muhutwe wilayani Muleba, Bibi Agness (90) wakati alipofika wilayani humo kwa ajili ya uratibu wa athari za maafa ya tetemeko la ardhi, (katikati) ni Mkuu wa wilaya hiyo Richard Ruyango na Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen. Mbazi Msuya, tarehe 20 Septemba, 2016.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, Ajira na Watu wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akiongozana na Kamati ya maafa wilayani Muleba wakati alipofika wilayani humo kwa ajili ya uratibu wa athari za tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera tarehe, 10 Septemba, 2016.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, Ajira na Watu wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa Mkuu wa shule ya Msingi Rwiigembe wilayani Muleba, Charles Kakwata  wakati alipofika shuleni hapo jioni kwa ajili ya kuratibu athari za maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea tarehe 10 Septemba, 2016, (mwenye kofia) ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen. Mbazi Msuya, tarehe 20 Septemba, 2016.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, Ajira na Watu wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akiwashiwa tochi na  Mkuu wa wilaya ya Muleba Richard Ruyango wakati alipofika wilayani humo kwa ajili ya uratibu wa athari za maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea tarehe 10 Septemba, 2016.
 Baadhi ya wananchi wa Kata ya Ngenge wilayani Muleba wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, Ajira na Watu wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama alipofika wilayani humo jioni kwa ajili ya uratibu wa athari za maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea tarehe 10 Septemba, 2016.
Next Post Previous Post
Bukobawadau