Bukobawadau

AJALI YA MOTO YAUNGUZA MADUKA BUKOBA

 Mjini Bukoba Maduka mawili yaliyopo katikati ya MAKUTANO ya mtaa na Zamzam na Arusha Jirani na Soko kuu yashika moto na mengine yaliyopo jirani kuathirika na moto huo ingawa juhudi za wenye maduka za kuokoa mali zimefanikiwa kuepusha hasara zaidi
Tukio hilo limetokea usiku wa leo Oct 27 majira ya saa 2:00 na kupelekea Askari wa Kikosi cha Zimamoto,kunusurika kichapo kutoka kwa baadhi ya wananchi baada ya kuchelewa kufika eneo la tukio.
 Bwana Emiry Baruti mmiliki wa Jengo lililopata moto.
 Wananchi wakikimbizana na ndoo za maji kusaidia kuuzima moto huo
Gari la zima moto likiwa limefika eneo la tukio baada ya muda
 Mpaka tunaingia mitamboni Chanzo cha moto huo hakijajulikana
 Kijana Evody akijaribu kuokoa mali kutoka katika Duka lake lililopo katika Jengo lililoshika moto
Mali zikiendelea kuteketea kwa moto
 Mali zilizo okolewa katika Duka la Kijana Evody Dogo Ditto
 Moto ukiendelea kuchukua kasi katika chumba cha Duka la biashara
 Jitihada za zima moto
Jitihada za kuzima moto huo kwa kutumia ndoo za maji
Next Post Previous Post
Bukobawadau