Bukobawadau

MKUTANO WA INJILI WA MTUMISHI WA MUNGU JAYLES NEEMA KATARAIA KUTOKA US.

 Mtumishi wa Mungu Jayls Neema Kataraia kutoka US pichani,Jioni ya leo Oct 24,2016 amehudumu katika Mkutano wa Injili uliofanyika katika Viwanja vya Kashai Sokoni Manispaa ya Mji wa Bukoba
Katika mkutano huo Mtumishi Jayls Neema Kataraia amesema; "Anatii ujumbe aliopewa na Mungu kuleta Bukoba ya kwamba watu wamjue Mungu na kumkubali na waache kutumikia Miungu mingine, 2Mambo ya Nyakati 7:14-15 wapendwa tukii tutakula mema ya nchi."

Watu mbalimbali wamehudhuria Mkutano huo ulio andaliwa na Mtumishi wa Mungu Jayles Neema Kataraia huku akisindikizwa na Mwimbaji wa Muziki wa Injili nchini Tanzania Dina Oswald kutoka Jijijini Dar,Mch. Janeth Sebastian na Mwinjilisti Jane Kataraia.
 Mungu ameendelea kuwa mwema sana kwa mtumishi wa Mungu Jayles Neema Kataraia kama anavyo onekana pichani akiimba nyimbo za kumtukuza Bwana.
 Mtumishi wa Mungu akitoa neno katika mkutano wa injili uliofanyika jioni ya lo eneo la Sokoni Kashai,Bukoba.
  Mwimbaji wa Mahiri wa Nyimbo za Dina Oswald kutoka Jijijini Dar akitumbuiza
Mwimbaji wa nyimbo za Injili akitumbuiza katika mkutano huo uliofanyika katika Viwanja vya Sokoni Kashai
Mwinjilisti Jane Kataraia akitoa neno la kuwahiza Waumini kumcha Mungu wao.
 Mwinjilisti Jane Kataraia pichani wakati akiendelea kunena na Wana wa Kashai Bukoba
 Pichani kushoto ni Mtumishi wa Mungu Jayles Neema Kataraia na kulia ni Mwimbaji wa Mahiri wa Nyimbo za Dina Oswald kutoka Jijini Dar.
 Pale Mitundo ya Nyimbo za Injili inapokolea
 Mchungaji Janeth Sebastian akiwa anazungumza na watu waliojitokeza katika mkutano huo
 Baadhi ya watu wakifatilia mahubiri yanayondelea kutolewa
 Pichani katikati anaonekana Bwana Newton Kataraia.
 Mchungaji Janeth Sebastian akikamilisha neno la Bwana katika mkutano huo uliofanyika jioni ya leo Oct 24, 2016 eneo la Kashai Sokoni
 Kwa pamoja wakiwajibika katika maombi.
 Burudani kwa wapenzi wa nyimbo za Injili kutoka kwa mmoja wa Waumini
Mtumishi wa Mungu Jayles Neema Kataraia akifurahia burudani.
Maombi ya Mwisho kuelekea kufunga Mkutano wa leo yakitolewa na Mwinjilisti Jane Kataraia 
 Watu mbalimbali wakiendelea kufatilia kinachijili,
Taswira mbalimbali kutoka eneo la mkutano huo,( Kusifu na Kuabudu)
 Usikose kuungana nasi kwa matukio ya Siku ya Kesho
 Mwisho Mtumishi wa Mungu Jayles Neema Kataraia anatumia fursa hii kuwakaribisha watu wote katika mkutano wa injili utakaofanyika Siku ya kesho Jumanne Oct 25,Katika Viwanja vya Gymkhana
 Naye Mchungaji Janeth Sebastian na Mwimbaji wa Injili Dina Oswald watakuwepo kesho katika Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba,Nyote mnakaribishwa...!

Next Post Previous Post
Bukobawadau