Bukobawadau

NALPHINE HOTEL LTD KUSHEREKEA MIAKA 2 TANGU KUFUNGULIWA KWAKE IJUMAA DEC 2.!!

Baada ya maboresha makubwa,sasa Nalphine Hotel Muleba wanatalaji kusherekea Birthday ya kutimiza miaka 2 ,shughuli itakayofanyika siku ya Ijumaa Dec 2,2016 na kusindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii wakali wa muZiki na Waigizaji kutoka Rock City.
 Muonekano wa nyuma ya Jengo la Nalphine HOTEL , hoteli bora yenye mandhari safi na usalama na inayokidhi kwa kila kitu kulingana na hali yako ya Uchumi
 Sehemu ya kututulia kwa huduma ya Chakula na Vinjwaji
Nalphine Hotel wanakodisha kwa bei nafuukabisa Ukumbi mkubwa  wa Mikutano/Sherehe mbalimbali uliofnikwa kabisa kama unavyoionea pichani
Sherehe ya kutumiza Miaka miwili tangu kufunguliwa kwa hotel hii iliyopo katika Mji Mdogo wa Mulebinatafanyika Siku ya Ijumaa Tarehe 2 Dec,206
 Hotel ipo Katika Mji wa Muleba Mkabala na Benki ya NMB
 Muonekano wa Lango la pili kuingia katika Ukumbi wa Nalphine Hotel Muleba
 Vyumba safi vyenye kila Sifa ,vikubwa,kila chumba kina Choo na bafu , huduma za Internet na Choona DSTV.
 Sehemu ya kupaka Magari yenye Usalama kabisa
Hii ni baada ya maboresha makubwa ndani ya Nalphine Hotel Muleba na sasa wanatarajia kusherekea Birthday ya kutimiza miaka 2 ,shughuli itakayofanyika siku ya Ijumaa Dec 2,2016 na kusindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii wakali wa muZiki na Waigizaji kutoka Rock City,Mwanza Mwanza.
 Shangwe za juma lijalo kwa watu wa ngeli zote itakuwa Muleba ndani ya Nalphine Hotel hii SIO ya kukosa
 Pamoja na Mambo mengine kinywaji pendwa cha Windhoek kinahusika siku hiyo, ni tarehe 2/12/1016

Next Post Previous Post
Bukobawadau