SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

26 November 2016

TANZIA :KIFO CHA MZEE ALHAJI ABDULMALICK KABYEMELA KILICHOTOKEA LEO NOV 27,2016

Tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee wetu ,Alhaji Abdulmalick Kabyemela kilichotokea alasiri ya leo tarehe 27 Nov, 2016 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza alipokuwa akitibiwa.
Taarifa kamili kuhusiana na msiba huu ni mtaendelea kufahamishwa muda mchache baada ya mipango yote kukamilika.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU