Bukobawadau

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKRANI YA FAMILIA YA BYEILANGO WA KISHANDA MULEBA

Familia ya Marehemu  Deonice Bweilangu wa Kishanda Muleba, Siku ya Jana Alhamisi Dec 22,2016 wamejumuika na Wadau mbalimbali katika Misa takatifu ya Shukrani na kuwaombea Marehemu wazazi wao na ndugu waliokwisha tangulia mbele ya haki.
 Baadhi ya watoto wa kuzaliwa na Marehemu Mzee Deonice Byeilango wakiwa tayari kwa ajiri ya kushiriki Ibada maalumu kwa ajili ya kumbukumbu
 Baadhi ya Waumini wa Kikatoliki walioweza kuungana na familia ya Byeilango kwa ajili ya Misa takatifu ya Shukrani na Kumbukumbu ili
Mwalimu Kasa wa Kijijini Kishanda.
Watoto wa Mrs & Mrs Datus pichani ni Deonice na Mercy.
Muonekano wa Makaburi ya ndugu wa familia na Wazizi waliotanguliwa mbele ya haki, tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa pumziko jema Daima Milele
Padre Revocatus Miruko wa Kanisa Katoliki la Rukindo  akiendesha Ibada hiyo.
Neno la Bwana likisomwa mwanzoni kabisa mwa shughuli ya Ibada hiyo iliyofanyika jana nyumbani kijijini Kishanda Kabulala Wilayani Muleba.

Muendelezo wa matukio kutoka Kishandani wakati familia ya Marehemu  Deonice Bweilangu wa Kishanda Muleba, Siku ya Jana Alhamisi Dec 22,2016 wamejumuika na Wadau mbalimbali katika Misa takatifu ya Shukrani na kuwaombea Marehemu wazazi wao na ndugu waliokwisha tangulia mbele ya haki.

Padre Revocatus Miruko akiongoza shughuli ya Misa takatifu kwa ajili ya shukrani Kijana Raul Rwihula akishiriki Ibada hiyo iliyofanyika Jana Alhamisi Dec 22,2016.

Endelea kufatilia matukio yote mwanzo mwisho, kwa matukio zaidi fatilia kurasa zetu za Facebook.
Wakati waumini wa Kikatoliki wakielekea kutoa Sadaka zao
Kaka Mkubwa wa familia ya Marehemu Mzee Deonice Bteilango akitoa Sadaka yake
Utaratibu wa kutoa Sadaka ukiendelea
Bi Grace Rwehula (Mrs Datus )akitoa Sadaka yake
Bwana Datus Rwihula wakati akitoa sadaka yake.
 Mdau Alban Wenfurebe akielekea kutoa Sadaka
Bwana Nicko wakati wa tukio la kutoa Sadaka.
Wadau mbalimbali wakiendelea kushiriki Shughuli ya Ibada hiyo iliyofanyika Jana Dec 22,2016
Bwana Mwambi Rwihula baba Junior akiendelea kushiriki Ibada hiyo
Wanakwaya wakiendelea kuwajibika
 Mr & Mrs Bashiru Katela wakazi wa Kijiji cha Kishanda wakiwa wameungana na majirani zao kushiriki shughuli hiyo.
Waalikwa wakiendelea kufatilia kinachojiri.


Wanakwaya wakiendelea kuimba nyimba  za kuabudu na Kumtukuza Bwana.


 Bwana Alban  Wenfrebe akipokeaMuonekano wa Sehemu ya wanakwaya.

Utaratibu wa kutoa sadaka ukiendelea kwa wanafamilia
Mtoto Junior akitoa Sadaka katika Shughuli hiyo.
Zoezi la kutoa Sadaka likiwa linaendelea


Padre akiongoza Ibada eneo la makaburi
Padre akinyunyuzia maji ya baraka kwenye makaburi

Eneo la makaburi anaonekana Bi Grace akiwa ameungana na wanafamilia  kushiriki Ibada maalum kwa ajili ya kumbukumbu.

Ibada maalum eneo la Makaburi.
Muendelezo wa matukio ya picha eneo la Makaburi.
Muendelezo wa matukio ya picha Dec 22,2016
Sehemu ya Wanafamilia wakiwa eneo la Makaburi kukamilisha Ibada ya kuwalehemu Ndugu na Wazazi walikwisha tangulia mbele ya haki


Bwana Datus katika picha ya kumbukumbu mbele ya Kaburi ya Marehemu Mama yake Mpendwa

 Baadhi ya Waumini wakiungana na Wanafamilia ya Byeilango katika katika shughuli ya Misa takatifu kwa ajili ya shukrani na kumbukumbu iliyofanyika Jana Dec 22,2016

Waalikwa wakishuriki huduma safi ya Chakula
Kijana Raul akiwa Imara kabisa kuakikisha kila kitu kinakwenda kama kilivyopangwa.
Ni muda wa Waalikwa wote kupata msosi
 Kwa vile si rahisi kumshukuru kila mmoja, Familia inaomba ndugu wasomaji na waalikwa walioshiriki shughuli hii mkubali shukrani zao za dhati kwa kushirikiana nao.
 Mr. Datus akitoa neno la Shukrani kwa niaba yake binafsi na kwa niaba ya familia ya Marehemu Mzee Deonice Byeilango
Muonekano wa Waumini wa Kikatoliki na Waalikwa Kibanda.
Mzee akipata kinywaji ikiwa ni katika kuhitimisha shughuli hiyo
Bwana Yunus Kabyemela pichani kushoto akiwakilisha Wana Bukoba Mpya
Sehemu ya Wanakwaya wakipoza Koo mara baada ya Ibada maalum kukamilika...
Mtu na Kaka yake pichani Bi Grace na Bro Mwambi Rwihula .... (Mwanula ndugu)
Kushoto ni Baba wa Ubatizo wa Ndugu Datus pichani kulia.
Mwambi na Nicko ambao ni ndugu wa kuzaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na Shemeji yao
Mara baada ya Ibada tukio la kuhitimisha linafuatia kwa Waalikwa wote kupata Chakula na Vinywaji mbalimbali.
Kaka na Dada, watoto wa kuzaliwa na Marehemu Mzee Deonice Byeilango
Wanandugu pichani wakibadilishana mawazo


Taswira mbalimbali mara baada ya Shughuli hiyo kukamilika.
 Mr & Mrs Datus Rwihula wakibadilishana mawazo na wazee wa Kigango cha Kabulala Parokia ya Rukindo kati ya Kishanda na Buganguzi

Wakiongea na Wazee wa Kanisa Mr & Mrs Datus Rwihula wameweza kutoa mchango wao kiasi cha shilingi Milioni Moja kwa ajili ya Ujenzi wa kanisa la Kabulala unao endelea hivi sasa...

Wadau wanachama wa Umoja wa Vijana Wa Bukoba maarufu kama WanaBukoba Mpya walioweza kuungana na familia hii kushiriki Ibada ya Shukrani na Kumbukumbu, kutoka kushoto pichani ni Bi Happiness Essau na kulia kabisa ni Mpambanaji Yunus Kabyemela

Mtaani jirani kabisa na eneo la tukio


Taswira jirani na eneo la tukio.... wpita njia katika harakati zao za kila siku.
 Haya ndiyo yaliyojiri katika Shughuli nzima ya Misa ya Kumbukumbu na Shukrani ya familia ya Marehemu Mzee Deonice Byeilango
Mwisho matukio ya Video yanakufikia hivi punde...Endelea kuwa nasi.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE....!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau