Bukobawadau

OFFICIAL LAUNCHING EVENT OF CHI PARK LINE HOTEL AT KASABA STREET KINONDONI DARWelcome to Chi Park Lane Hotel:A subsidiary of Chichi Hotel , Located at Kasaba street, kinondoni , Dar es salaam,For your reservation contact Mobile :255 673 160 674 , Email :chiparklanehotel@gmail

Muonekano wa Jengo la Hotel Mpya ya Chi Park Line iliyopo Mtaa wa Kasaba Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Chi Park Line ni hotel Hotel inayotoa huduma nzuri kwa gharama nafuu kanisa ,Gharama ya Chumba ni 50,000 TZS pamoja na breakfast ya nguvu

Muonekano wa Mbele wa Chi Park linetel,ambayo kwa kiasi kikubwa hoteli hii na nyingine za Chichi Hotel zina vifaa vya kutosha na vya kisasa kama vile chaneli za satelaiti, mtandao wenye kasi, Viyoyozi, Jokofu ndogo la chumbani, sefu ya pesa, migahawa inyaotoa vyakula vya mataifa mbalimbali na vitu vyote vizuri kwaajili ya mapumziko yako.

Muonekano wa Sehemu ya Bar iliyopo juu ya Jengo la Chi Park Line Hotel


Madhali Safi,yenye kupendeza,Vyumba vikubwa ndani ya Chi Park line waliopo mtaa wa Kasaba Kinondoni jijini Dar es Salaam.


Gharama ya Chumba ni 50,000 TZS pamoja na breakfast ya nguvu


Mdau Deo Mutalemwa pichani.


Sehemu ya wadau walioshiriki hafla ya Ufunguzi huo wakishow love

Huduma mbalimbali zikiendelea.

Waalikwa wakibadilishana mawazo

Ndani ya Chi Park Line Hotel, Mawasiliano, usalama kwa UtulivuHafla fupi ya ufunguzi ikiwa inaendelea katika Sehemu ya Bar na mapumuziko Iliopo eneo la wazi juu.

Pichani anaonekana Mkubwa Ben Mulokozi akishow love na waalikwa wengine

Mkurugenzi wa Chi Park Line Hotel pichani kushoto


Chi park Line Hotel wapo maeneo ya MK Kinondoni mtaa wa Kasaba


Welcome to Chi Park Lane Hotel:A subsidiary of Chichi Hotel , Located at Kasaba street, kinondoni , Dar es salaam,For your reservation contact Mobile :255 673 160 674 , Email :chiparklanehotel@gmail

#PureBeerSociety at #ParklineHotel #AfricasWorldClassBeer
Next Post Previous Post
Bukobawadau