Bukobawadau

WATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUSHEREHKEA UHURU WA TANZANIA BARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.Jenista Mhagama akiongea na Mkurugenzi wa Idara ya Maadhimisho na Sherehe za kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Flora Mazelengwa wakati akikagua maandalizi ya maandhimisho ya miaka 55 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2016.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.Jenista Mhagama akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Jackson Lyaniva wakati akikagua maandalizi ya maandhimisho ya miaka 55 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2016 (katikati) ni Mkurugenzi wa Idara ya Maadhimisho na Sherehe za kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Flora Mazelengwa
 Bw. Hamad Hashim akiendelea na maanadlizi ya kusafisha zuria wakati wa maandalizi ya maandhimisho ya miaka 55 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2016.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU


                                                                                                                                                                                               
AnwaniyaSimu: WAZIRIMKUU” 
DARES SALAAM.
SimuNambari  2117249/51
UnapojibuTafadhalitaja
2 MtaawaMagogoni,
S. L. P.  3021,
11410 DAR ES SALAAM.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUSHEREHKEA UHURU WA TANZANIA BARA
WaziriwaNchiOfisiyaWaziriMkuu(Sera,Bunge,Ajirana Watuwenyeulemavu),Mhe.JenistaMhagama, amewatakawananchiwotekushirikiananakusherehekeauhuruwa TanzaniabarakwakuungajuhudizaserikaliyaawamuyaTanoyakupingaufisadi na rushwanchini.
“Kwaniabayaserikalinatoawitokwawananchiwotenchinikusherehekeasikuhiikwakuwakumbukawaasisiwetuwaliotetea nakutuleteaUhuruwanchiyetu.AidhaniwaombewananchiwotekuungamkonojuhudizaRaiswetuMheshimiwaDkt. John Pombe Joseph Magufuli katikakuimarisha uchumiwaviwandakwamaendeleoyanchiyetu”amesemaMhagama.
Kaulimbiuyasherehezakutimiza Miaka55 yauhuruni“TuungeMkonoJitihadazaKupingaRushwa na Ufisadi na TuimarisheUchumiwaViwandakwamaendeleoyetu”
MgeniRasmikatikaMaadhimishohayoatakuwaMhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania.
Imetolewana,
Kitengo cha Mawasilianoserikalini
OfisiyaWaziriMkuu
TAREHE 08, DESEMBA, 2016.
Next Post Previous Post
Bukobawadau