Bukobawadau

YALE YA MARUKU BEACH PARTY DEC 26,2016

 Matukio ya picha ya Bonge la Beach Party iliyowakutanisha wakazi wa Mji waBukoba na maeneo ya jirani iliyofanyika Kabuhara Maruku Bukoba Siku ya Boxing Day Dec 25,2016.
 Msanii Lady Mariam wa Uganda aliyetamba na kibao cha Tindatine akishambulia jukwaa
 mwanamziki Lady Mariam wa Uganda mwenye nyota ya aina yake akifanya yake jukwaani, ni Kabuara Beach Party Maruku Bukoba Dec 26,2016
 Baadhi ya wadau waliohudhuria Usiku wa Shangwe hizo #MarukuBeachParty
Nyomi ya watu eneo la tukio.
 Matukio yote ya picha ni kuonyesha Shangwe zilivyokuwa  siku ya Boxing Day  Maruku Bukoba.
 Waandaji wa Shangwe hizi ni Mr & Mrs Bashir  pichani wakati wa Utambulisho uliotolewa na Mc Mwongozaji wa Shangwe hizi mtangazaji mwenye kipaji pekee ambaye anatangaza katika Kipindi cha Ng'aring'ari katika Kituo cha Clouds Sakina Lyoka.
 Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa #MarukuBeachParty
 Muendelezo wa matukio ya picha #MarukuBeachParty
 Mh. Lwakatare akiwajibika jukwaani kwa namna ya pekee  baada ya kuwasilisha katika kongamano la awali Bumudeco lililofanyika mapema hapa hapo Kabuhara Maruku Dec 26,2016
 Kutoka Jijini Arusha Mdau Samuel Lugemalila na wadogo zake wakifuatilia kinachojiri.
 Ma home boy wakiwakilisha vyema Usiku wa Boxing Day.
 Mdau Rasheed Rwehumbiza (Katoro) na Bwana Tall wa Nshamba Muleba wakiwakilisha vyema katika shangwe hizo zilizofanyika Bukoba Maruku Dec 26,2016
 Leyla Rashid akiwapagawisha mashabiki wa taarab na Wimbo wake ujulikanao kama 'Sina Muda Huo #MarukuBeachParty
 Sura zenye bashasha zikifuatilia kinachojiri
 Rahy Rasheed anakwambia Sina Muda huo
 Humo humo likafanyika lile kongamano la BUMUDECO (Bukoba municipal Developmental conference ) chini ya Mbunge wa Bukoba Mjini Mh. Wilfred Lwakatare.
Ni mwendo wa kuserebuka

 BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0768 397241
 Msanii Saida Karoli akipagawisha jukwaani #MarukuBeachParty
 Msanii Barnaba miongoni mwa waimbaji kali wenye talent zao nchini ameweza kufanya bonge la show katika jukwaa la #MarukuBeachParty
 Barnaba Elias aka Barnaba Boy akiwajibika jukwaani ni pande za Kabuhara Maruku Beach Party Dec 26,2016
 Msanii BK Sunday jukwaa moja na Mwanadada Sima Isaya
 Anaitwa Sima Isaya, Msanii wa Mjini Bukoba.
 Madj wa hapa hapa Mjini Bukoba wakisababisha vyema Mtamboni
 Madau mbalimbali wakifatilia mtiririko wa Burudani .

 Baadhi ya Mashabiki walioguswa na Uwezo mkubwa wa Mwanamuziki wa nyimbo za asili ya Kihaya nchini Saida Karoli
 Msanii Saida Karoli mwenye kibaji cha aina yake anaye endelea kuvuma mpaka kesho  akifurahia jambo na mashabiki wake
 #MarukuBeachParty
 Sakina Lyoka mtangazaji mwenye kipaji pekee ambaye anatangaza katika Kipindi cha Ng'aring'ari katika Kituo cha Clouds
 Kijana Godfrey Bwogi akishow Love mbele ya Camera yetu pande za Maruku Dec 26,2016
 Mapema burudani zikiendelea #MarukuBeachParty

 #MarukuBeachParty Wasanii wakati wa kutambulisho.

 Watoto wenye Vipaji waliweza kupata fursa za kuonyesha uwezo walionao kwa kuimba na kucheza nyimbo mbalimbali Dec 26,2016 #MarukuBeachParty  
 Taswira  eneo la tukio mapema wananchi wakifuatilia burudani mbalimbali.
Kijana Amary ,Sadath na Yuns Kabyemela pichani.
 Dec 26,2016 muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri#MarukuBeachParty
 Ras Nold Kalikawe #MarukuBeachParty
 Yote haya ni katika kuonyesha umuhimu wa kila kitu kinachowezekana Bukoba
 Mwanadada Mainda Kassim akicheck na Camera yetu #MarukuBeachParty
 The Chizziels #MarukuBeachParty
 Watoto wa Mzee Kassim wakishow Love #MarukuBeachParty
 Mwanalibeneka wetu Mc Baraka katika hili na lile, pembeni yangu ni Kijana Ras Nold Kalikawe
Wadau katika picha ya pamoja na  Mh. Charles Mwijage Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji #MarukuBeachParty
 Wadau wakiendeleza maisha #MarukuBeachParty
 Wallah tena Bukoba tuhitakayo inawezekana nyanja zote #MarukuBeachPartyDec 26 2016.
 Pamoja na Saida kufanya Vyema, wasanii wengine ni pamoja na Man Fongo, Snura na Wengine kutoka nchini Uganda #MarukuBeachParty
 Wapenzi wa Chenkula na Katambala wakiserebuka sambamba na Wachezaji wa Kundi mahiri la ngoma za asili linalo onhozwa na Saida Karoli
 Wakati Msanii Saida Karoli akishambulia Jukwaa #MarukuBeachParty
Msanii Bk Sunday mapema katika utambulisho.
 Mdau Mahafudhi akiongozana na Mwanae mwenye kipaji cha kujua Majina ya Viongozi wakubwa Ulimwenguni
Mh. Charles Mwijage Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji akimshangaa Mtoto mwenye kipaji cha hali ya juu kwa kuwajua Viongozi wote wa Kitaifa na Kimataifa
 Mdau Mpambanaji Revo Alexandria pichani
 Wana wa familia ya Kabyemela wakiwakilisha vyema pande hizi
Haya ndiyo yaliyojiri pande za Maruku Bukoba Dec 26,2016
 Taswira Fukweni #MarukuBeachParty
Mwisho kabisa BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 5050430768 397241

Next Post Previous Post
Bukobawadau