Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi
yenye kilometa 71.8 wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka, Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Luhaga Mpina, Waziri wa
Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti wa CCM
Simiyu Titus Kamani na Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony
Mtaka pamoja na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa
barabara ya Barabara ya Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Bariadi mara baada ya
kumaliza kufungua barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa Bariadi kabla ya kufungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi, katika
mkoa wa Simiyu.

mkoa wa Simiyu. PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment