Bukobawadau

FAHAMU KUHUSU KIMONDO HIKI

 FAHAMU:Mwaka 1930 kimondo kutoka angani chenye tani zaidi ya 12 kiligundulika huko wilayani Mbozi mkoani Mbeya, na ni moja ya vimondo 10 bora vyenye uzito mkubwa duniani.
Watafiti wamasema asilimia 90 ya kimondo hicho ni chuma.
CREDIT:ITV
Next Post Previous Post
Bukobawadau