Bukobawadau

MAHAKAMA YATOA ZUIO KUTOKUKAMATWA MBOWE

MAAMUZI MAHAKAMA KUU: Mahakama Kuu Dar imeamuru kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe asikamatwe wala kuwekwa kuzuizini hadi kesi yake dhidi ya RC Makonda, Kamishina Sirro na Mkuu wa Upelelezi Dar, Wambura itakaposikilizwa Ijumaa, wiki hii.#MwananchiLeo
Next Post Previous Post
Bukobawadau