Bukobawadau

MAMIA WAMZIKA TWAHA YUNUS MSOKE KIJIJINI KISHANDA MULEBA LEO ALHAMISI FEB 23,2017



Sheikh wa Mtaa wa Kishanda, Sheikh Selemani akiongoza Dua mara baada ya Sala ya kusalia Maiti ya Marehemu Twaha Yunus (Msoke) aliyekuwa Meneja wa Lake Hotel Bukoba kwa muda mrefu.

Sala ya kusalia Maiti ya Marehemu Twaha Msoke wakati ikiendelea..

Baadhi ya waombolezaji wakiwa tayari kushiriki Shughuli ya mazishi ya Mpendwa wao Twaha Msoke
 Marehemu Twaha Yunus (Msoke) enzi za Uhai wake Pichani,Kifo cha Marehemu Twaha Yunus (Msoke) kilitokea siku ya Jana Jumatano majira ya saa 2:30 Usiku katika hospital ya Mkoa Kagera alipokuwa akipata matibabu.
Mama Idda pichani, Mjane wa Marehemu Twaha Msoke.
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta muda mchache kabla ya kuelekea Kijijini Kishanda kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Mpendwa wetu Marehemu Twaha Msoke

Uncle Salum pichani katikati wakati akimfariji Mjane wa Marehemu,Kabla ya kuanza kwa safari kuelekea Kijijini Kishanda kwa ajili ya shughuli ya Mazishi yaliyofanyika Mchana wa leo Alhamisi Feb 23,2017.

Makundi ya watu mbalimbali wakielekea kwenye magari kwa ajili ya Safari kuelekea Kijijini Kishanda

Baadhi ya Waombolezaji wakiwa tayari kwa Safari ya kuelekea Kijijini Kishanda Muleba.

Haya ndiyo yaliyojiri katika Safari ya mwisho ya Maisha ya Mpendwa wetu Marehemu Twaha Yunus Mgogo kwa jina maarufu Twaha (Msoke) mkazi wa Kasalani Bukoba, mzaliwa wa Kishanda.
Wadau wakiwasili kijijini Kishanda kwa ajili ya kushiriki maziko hayo, mapema ya leo Feb 23,2017


Taswira mbalimbalimbali kijijini Kishanda muda mchache kabla ya Shughuli ya mazishi
Haji Mugunda akisalimiana na waombolezaji mara baada ya kuwasili kijijini hapo
Mdau Sebo mmoja wa marafiki wa familia ya Marehemu Twaha Msoke
Baadhi ya waombolezaji wakibadilishana mawazo kabla ya Shughuli ya mazishi
Hakika watu wengi wameweza kuhudhuria shughuli ya mazik hayo yaliyofanyika kijijini Kishanda Wilayani Muleba.
Apumzike kwa Amani mpendwa wetu Twaha Msoke,Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!
Waumini wakiwa wamebeba Jeneza kuelekea eneo la kaburi.

Eneo la kaburi waumini wakiwa tayari kumustiri Marehemu Twaha Msoke, Mapema ya leo feb 23,2017
Ndugu wa Marehemu wakiwa tayari ndani ya Kaburi kwa ajili ya kupokea maiti

Eneo la kaburi hatua za kuupokea mwili wa Marehemu kwa ajili ya kuhustiri

Pichani kulia anaonekana katika hali ya huzuni Bwana Yusufu Yunus ambaye ni mdogo wa marehemu

Diwani wa Kata ya Kishanda anaonekana akitweet...

Maziko yakiwa yanaendelea...

Umati wa watu wakiendelea kushiriki mazishi hayo .

Ustaadh Malick Yunus akingeongoza zoezi la kuweka Udongo kwenye kaburi la Kaka yake Mpendwa,Marehemu Twaha Yunus (Mgogo) maarufu kama Twaha Msoke.


Utaratibu wa kuweka Udongo kwenye kaburi ukiendelea
Mzee Pius Ngeze akiweka Udongo kwenye kaburi la Marehemu Twaha Yunus (Msoke)


Waombolezaji wakishiriki kuweka Udongo kwenye Kaburi.
Waumini na waombolezaji wakiendelea kushiriki Mazishi ya Marehemu Twaha Msoke.


Wakati zoezi la kuweka Udongo kwenye Kaburi likiendelea

Haji Nurag Galiatano (Katikati) akijadiliana na Imamu wa Msikiti wa Kishanda .

Muendelezo wa matukio ya picha kutoka eneo la tukio.

Sheikh Idrisa akisoma kisomo cha Qur-aan mara baada ya Mazishi yaliofanyika mchana wa leo Feb 23,2017.
Uncle Majid Kichwabuta akimfariji Bwana Bashir Yunus ambaye ni Mdogo wa marehemu
Anaitwa Nsumbuga Yunus Mgogo, ndugu wa kuzaliwa na Marehemu Twaha Msoke.
Katika kuwafariji wafiwa anaonekana Uncle Salum Mawingo...
Mjane wa Marehemu , Mtoto wa Marehemu na mjuu wa Marehemu Twaha msoke pichani

Mama Nurath /Mrs Nurag pichani kulia ambaye ni Dada wa kuzaliwa na Marehemu Twaha Msoke.
Bwana Yusuph Songoro akitoa mkono wa pole kwa wafiwa

Mdau Alex pichani kushoto akiwa ameungana na waombolezaji wengine
Ma Zuriath Rajabu katika picha na Mwanae wa Kumzaa Bi Ziada Rajabu
Wakati shughuli ya maziko ikiwa inaendelea
Waombolezaji pichani anaonekana Mama Shakira na Mama Sauda.

Taswira mara baada ya Shughuli ya Maziko
Taswira mbalimbali mara baada ya Shughuli ya mazishi ya mpendwa wetu Marehemu Twaha Msoke.
Wadau pichani wakibadilishana mawazo, ni kijijini Kishana leo katika maziko ya Twaha Msoke
Mwalimu Kasa pichani kushoto na Bwana Bashir Issack.
Sehemu ya waombolezaji wakifatilia kinachojiri mara baada ya Shughuli ya mazishi hayo
Sehemu ya Waombolezaji muda mchache baada ya Shughuli ya maziko hayo
Bukobawadau Media tunatoa pole kwa wanafamilia wote Inshallah ... Mungu ailaze roho ya Marehemu Twaha Yunus mahali pema,Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!

Matukio yote hayakwa hisani ya mwanalibeneke wa Bukobawadau
Uncle Issack Galiatano akitoa mkono wa pole kwa Baba Mkubwa wa Marehemu Twaha (Msoke)
Mdau Abdul Koma na Swahiba yake Jumanne Bingwa

Huduma ya Chakula ikiendelea kwa watu wote waliohudhuria msiba huo.


Wadau mbalimbali walioweza kuhudhuria maziko hayo leo kijijini Kishanda Wilani Muleba

Imamu wa Mtaa na Kata ya Kishanda akitolea jambo ufafanuzi
Waombolezaji wakisikiliza kwa makini mawahidha ya Sheikh mara baada ya mazishi

Sheikh akitoa mawahidha juu ya mauti mara baada ya shughuli ya mazishi ya Mpendwa wetu Marehemu Twaha Msoke aliyefariki jana baada ya kuugua kwa muda mfupi katika hospital ya Mkoa Kagera
Kuelekea mwisho kabisa taswira eneo la maegesho
Sheikh Nohran wa Muleba akitoa mawahidha mara baada ya mazik hayo yaliyohudhuria na mamia ya watu.

MWISHO:Sasa unaweza kupata habari mpya za uhakika kilahisi zaidi kwa kudownload Application ya Bukobawadau kwenye simu yako kutoka play store BOFYA HAPA
Next Post Previous Post
Bukobawadau