Bukobawadau

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAUAGA MWILI WA OMWAMI EMMANUEL MUTABUZI

Siku ya Jana Jumapili Feb 12, Mamia ya wambolezaji waliweza kushiriki Ibada ya kuaga mwili wa Mpendwa wao Mzee wetu ,Omwami Emmanuel Butabuzi iliyofanyika nyumbani kwake kashai Bukoba,Ibada hiyo iliongozwa na Fr. Faustin wa Parokia ya Bukoba.
 Baadhi ya waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada hiyo.
 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mh. Lwakatare akiwa ameunganaji na familia na waombelaji kushiriki Ibada ya kumuaga mwili wa Mzee wetu  Omwami Emmanuel Butabuzi i
 INAENDELEA..


Next Post Previous Post
Bukobawadau