SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

11 February 2017

NSHAMBA KISHURO NA CAMERA YETU.

 Hapa ni stand ya magari makao makuu ya tarafa Tarafa ya Nshamba wilayani Muleba mkoani kagera
Taswiraki Nshamba hii ni barabara ya kelekea kata ya Ngenge katika zahanati ya Kishuro iliyo chini ya kanisa Katoliki jimbo la Bukoba
 Hapa ni makao makuu ya Kishuro ambapo ili ufike unakumbana pia na changamoto za kimazingira hasa barabara mbovu na milima au miteremko  mikali kwa wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka mitano wanateseka sana
 Bango la Kituo cha Afya Kashuro
 Muonekano wa sehemu ya barabara ya Kishuro Nshamba Wilayani Muleba.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU