Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CHA OMWAMI TA EMMANUEL R.G.MUTABUZI

TAARIFA KIFO:Ndugu Wilbroad  Mutabuzi wa Kashai Bukoba anasikitika kutangaza kifo cha  baba yake mzazi Omwami Ta Emmanuel R. G. Mutabuzi  kilichotokea  siku ya Jana  Feb 9,2017,Mazishi yanatalajiwa kufanyika siku ya Jumatatu Feb 13,2017 Nyumbani kijijini Kashaba Kyaka.
Zoezi la kuaga Mwili wa marehemu litafanyika siku ya Jumapili nyumbani kwake Kashai Bukoba majira ya Saa 7:00 Mchana.
Tayari kwa safari ya kuelekea Kijijini Kyaka -Kashaba Wilayani Mishenyi kwa ajili ya Maziko yatakayofanyika mchana wa Jumatatu,ratiba ya shughuli ya mazishi itaanza Saa 5 asubuhi.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa,Jina  la bwana lihimidiwe!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau