Bukobawadau

TUNDU LISSU AACHIWA KWA DHAMANA YA MIL 20

Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuachi kwa dhamana ya milioni 20 Mbunge wa Singida Mashariki Mh.Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na makosa manne likiwamo lakutoa maneno yanayoashiria uvunjifu wa amani.
Next Post Previous Post
Bukobawadau