SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

16 February 2017

SAFARI YA MWISHO YA JULIA NYANGOMA KWENYE NYUMBA YAKE YAKE YA MILELE.

MAMA WA MAREHEMU NA MTOTO WAKE WAKIWA WENYEWE MAJONZI WAKATI WA KUSHUHUDIA SAFARI YA MWISHO YA MTOTO WAKE JULIA NYANGOMA.
Mama wa marehemu Julia Nyangoma akiwa mbele ya nyumba ya milele ya mtoto wake tayari kwa kumuaga.
Mchungaji akiongoza misa ya kuaga mwili wa marehemu Julia kanisani hapo.
Familia ya marehemu Julia wakiwa na majonzi wakati wa misa ya kuaga mwili.
Mwili ukitolewa kanisani baada ya misa tayari kwa safari ya kwenye nyumba ya milele. kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
Sasa unaweza kupakua Application ya Bukobawadau kutoka Google Play Store  gonga hapa >>BUKOBAWADAU APP

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU