Bukobawadau

CAMERA YETU MULEBA LEO JUMATATU MARCH 6,2017

 Taswira katika Mji Mdogo wa Muleba ,Jimbo la Muleba kusini wanaonekana waendesha bodaboda wakiwa wameegesha pembezoni mwa barabara kuu.
 Jengo la UVCCM zilipo ofisi za GSM Muleba.
Gari aina ya fuso kama lilivyokutwa na Camera yetu likiwa limepakia mikungu ya ndizi .
 Mitaa ya Mji mdogo wa Muleba 
 Ndani ya Hamashauri ya Wilaya Muleba Jimbo la Muleba Kusini
 Barabarabu tunakutana na Gari lililopata ajali siku kadhaa zilizopita baada ya kupalamia kingo za barabara
 Wadau wakibadilishana mawazo katika moja ya mradi wa UVCCM Kagera uliopo Wilayani Muleba
 Mwenyekiti wa UVCCM mpya Mkoa Kagera Yahaya S. Kateme akisaini kitabu cha wageni  mara alipotembelea mradi wa kilimo cha Umwagiliaji uliopo katika Kijiji Buyaga Kata  Buhagaza Wilayani Muleba.
 Taswira maeneo yaliyozunguka Mashamba ya Mradi wa Umwangiliaji Buyaga - Buhagaza Muleba
Mwanzo wa Ukaguzi wa maeneo ya mradi

Muonekano sawia wa Mradi wa Shamba la Matunda lenye ukubwa wa ekari kumi na sita 20.
 Akiongea na Bukobawadau Mrdia,Mwenyekiti wa UVCCM mpya Mkoa Kagera Yahaya S. Katemea amesema ameamua kujikita katika kilimo kama kipaumbele na kuleta changamoto kwa Vijana wenzake katika utekelezaji wa sera ya Serikali kupitia Wizara  ya Kilimo, Chakula na Ushirika katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.
 Bustani ya Miche ya matunda.
 Mradi wa Shamba la matunda kwa ajili ya biashara
 Ni wakati sasa kwa Wata Kagera kutambua kuwa Kilimo ni fursa kubwa na kila mmoja anaweza kumiliki biashara ya kilimo kupitia wataalam lukuki tuliona.
 Muonekano wa Matanki ya Maji yaliyopo shambani hapo kwa ajili ya umwagiliaji
 Wadau wakikagua miundombinu ya maji
 Changamoto iliyopo ni miundombinu mibovu  iliyopo chini ya ardhi kwa ajili ya umwagiliaji
 Moja ya mashine ya kusukuma maji
Bwana Yahaya Kateme akiongea na msimamizi wa mtambo wa kusukuma maji katika Shamba la mradi wa kilimo uliopo Muleba.
Mdau pichani ambaye ni mwenyeji wa maeneo haya akitolea jambo ufafanusi kuhusiana na Changamoto zinazowakabili katika mradi huo.
 Baadhi ya wanawake wakiekea shambani kuwajibika.
Mwisho tunatumia fursa hii kukujuza kuwa unaweza kupata habari mpya za uhakika kilahisi zaidi kiganjani kwako kwa kudownload Application ya Bukobawadau kwenye simu yako kutoka play store BOFYA HAPA KUDOWNLOAD












Next Post Previous Post
Bukobawadau