SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

06 March 2017

VIDEO:RC MAKONDA AKIZUNGUMZA NA WAUMINI KATIKA KANISA LA KKKT KIMARA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na waumini wa Kanisa la KKKT Kimara ambalo leo limeendesha ya ibada ya maombi ya kumuombea Rais Dk. John Magufuli, Watendaji pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam dhidi ya mapambano dhidi ya maovu ikiwemo dawa za kulevya leo jijini Dar es Salaam.
SEHEMU YA  VIDEO HAPA CHINI

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU