Bukobawadau

MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AFUNGA SEMINA YA WATENDAJI NA WENYEVITI WA WILAYA NA MIKOA MJINI DODOMA JANA

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini Dodoma Jana Machi 14, 2017.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao katika ukumbi wa White House mjini Dodoma Jana Machi 14, 2017.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa wakati wa kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini Dodoma jana Machi 14, 2017.
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli  wakati akifunga kufunga semina ya watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa  katika ukumbi w White House mjini Dodoma leo Machi 14, 2017.


PICHA NA IKULU
Next Post Previous Post
Bukobawadau