Bukobawadau

Rais Magufuli aagiza MsaniiNey Wa Mitego kuachiwa huru

 
#HABARI Rais John Pombe Magufuli ameagiza msanii Ney wa Mitego aliyekamatwa jana mkoani Morogoro na kusafirishwa kwenda jijini Dar es salaam, aachiwe huru na wimbo wake upigwe kwenye vituo vyote vya radio na Tv kwa sababu ni maoni ya mwandishi. Rais ametoa agizo hilo kupitia kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe leo mjini Dodoma.

Next Post Previous Post
Bukobawadau