Bukobawadau

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUTA AGIZO LA KUFUNGA NDOA KWA SHARTI LA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA

RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari Mkoani Dodoma kuhusiana na kufuta agizo lililotolewa Jana na Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Wananchi kufunganga ndoa kuanzia Mwezi Mei mwaka huu kuwa na vyeti vya kuzaliwa.
 Rais Mhe.Dkt.Magufuli ameagiza utaratibu wa awali Uendelee kutumika kwa sababu wananchi Wengi wa Tanzania hawanaVyeti, hivyo wangekosa haki hiyo ya kufunga ndoa.
 Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana.
 PICHA NA IKULU
Next Post Previous Post
Bukobawadau