SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

12 April 2017

ATHARI YA MAZINGIRA BAADA YA MVUA YA MAFURIKO BUKOBAAthari ya mazingira kandokando mwa ziwa Victoria kutokana na mvua kubwa zilizonyesha maeneo mbalimbali mkoani Kagera siku ya jumapili April 9,2017 na kusababisha madhara katika baadhi ya maeneo


Mvua hizo zimesababisha madhara makubwa ikwemo uharibifu wa miundombinu,(Soil erosion) ,Uharibifu wa mazao pamoja na mali mbalimbali za wananchi.


Hapa ni Spice Beach Motel,Bukoba

Soil erosion

Soil erosion pembezoni mwa ziwa victoria Bukoba

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU