KONGOMANO LA UVCCM MKOA WA KAGERA KUHUSU CCM MPYA/TANZANIA MPYA,APRIL 29!!
UVCCM Mkoa Kagera inakukaribisha Katika Kongamano la Darasa la Itikadi kuhusu CCM MPYA/TANZANIA MPYA.
Kongamano hilo litafanyika tarehe 29. 04. 2017 kuanzia saa 3 asubuhi hapa hapa Bukoba mjini.
Mgeni rasmi atakuwa ni Mhe. katibu Wa Halmashauri Kuu ya Taifa Idara ya Siasa Itikadi na Uenezi Ndg. Hamphrey Polepole(mcc).
Nyote Mnakaribishwa.
Ukumbi ni BUKOBA COOP HOTEL,ZAMANI YAASILA