Bukobawadau

UZINDUZI WA TAWI LA SIMBA CEMENT MJINI BUKOBA (AGAS BUILDING SOLUTIONS (T) Ltd)

 Habari njema Na sahihi kwa wakazi wa Bukoba,na mkoa wa Kagera kwa Ujumla.....!
AGAS BUILDING SOLUTIONS :WAKALA wa Simba Simenti,Simenti iliopo kwenye market kubwa tanzania yenye sifa na Ubora tayari wamekufikia mjini hapa,Kwa punguzo maalum la bei
 “Bidhaa hii mpya ya Simba Cement ni hatua nyingine ya  AGAS BUILDING SOLUTIONS (T) Ltd Akuwa karibu na Watanzania wa Mkoa wa Kagera  kwa kuwasogezea karibu bidhaa hii ambayo mbali na kuwa ni ya bei ya kuridhisha kwa Mtanzania wa kawaida bado inawahakikishia ubora dhabiti unaoendana na teknolojia ya kiwango cha juu katika utengenezaji wa simenti”.
 Mjini Bukoba SIMBA Simenti Inauzwa Tsh 14500 (elfu kumi na nne na mia tano) 50Kg,Mfuko wake umejaa vizuri hauna upungufu
 SIMBA CEMENT Ni Simenti ya mwendo kasi yenye ubora na gharama nafuu...!
Wanapatikana Kashozi Road Mkabala na Shule ya msingi Tumaini ..njia panda kuelekea Kashai
Kwa Mawasiliano zaidi ......0765 238444 / 0767 405514
Simba Simenti imekuja kuwapatia watanzania kile wanachohitaji katika ujenzi wa miundombinu pamoja na makazi hii ni simenti kwa matumizi yote, simenti kwa aina zote za ujenzi,Simenti isiyopata Unyevu na inawahi kukauka.
Muonekano wa Barabara ya Kashozi lilipo Duko la Wakala wa Simba Simenti
 Mjini Bukoba shughuli ya Upakuaji wa Simba Simenti ,Simenti ya daraja la nguvu kwa kiwango sahihi, Simenti ambayo bei yake ni ya kuridhisha ambapo mtu yeyote anayehitaji simenti kwa ujenzi wa aina yoyote anaweza kununua kwa bei ya (14500)elfu kumi na nne na mia tano tu!


 Wadau wa Simba Simenti katika picha ya pamoja
Taswira mbalimbali wakati wa Shughuli ya Uzinduzi wa Simba Simenti tawi la Bukoba
 Mteja akiwa tayari kajinunulia mfuko wa Simba Simenti wenye Ujazo kamilifu
 Mkurugenzi wa  AGAS BUILDING SOLUTIONS (T) Ltd ,Ahmed Omary katika picha na mdau Al Amin Abdul
 Burudani ikiendelea katika shughli ya Uzindzi wa tawi la Simba Simenti Mjini Bukoba
  Unaambiwa Simenti nzuri inatokana na Ubora wa jiwe, hakika Simba ndiyo chaguo sahihi.
 Bwana Ahmed Omar Mkurugenzi wa AGAS BUILDING SOLUTIONS Wakala wa Simba Simenti Tawi la Bukoba akizungumza katika Uzinduzi huo uliofanyika Jana Jumapili Mjini hapa.
 Mashuhuda wa tukio la Uzinduzi wa Simba Simenti ‘simenti ya Mwendokasi' inaletwa kwa Wanakagera kwa ujumla ili kuharakisha maendeleo ya makazi bora na shughuli nyingine za ujenzi
 Bwana Justice M.Kanju Meneja masoko wa Kanda ya ziwa akiongea na wadau waliojitokeza kushuhudia uzinduzi wa tawi la Simba Simenti  Tawi la Bukoba uliofanyika Jana Jumapili May 7,2017

Pichani kulia ni Bwana Hamza Ngemera akipata maneno kutoka kwa Bwana Ahmed Omar Mkurugenzi wa AGAS BUILDING SOLUTION
Simba Cement ni bora kuliko zote ,Watu wote mnakaribishwa
 Mwisho kabisa  #BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045 / 0754 505043

Next Post Previous Post
Bukobawadau